Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Soma Biblia Kila Siku /Septemba 2023Mfano

Soma Biblia Kila Siku /Septemba 2023

SIKU 15 YA 30

Somo linadhihirisha upumbavu wa mvivu. Uvivu huleta umaskini na ufukara. Watu wengi wameanguka katika mtego wa kukiri umaskini wa mali. Kumbe wao sio fukara. Mungu amewapa siha, nguvu na akili. Umaskini unaoikabili jamii yetu unatokana na kutokufanya kazi kwa bidii na maarifa. Kuendelea kukiri hali hiyo ya umaskini wa kiuchumi ni dhambi. Mwombe Mungu akufumbue macho ya kuona baraka zake zinazokuzunguka. Kisha afufue roho ya watu kupenda kazi.

siku 14siku 16

Kuhusu Mpango huu

Soma Biblia Kila Siku /Septemba 2023

Soma Biblia Kila Siku /Septemba 2023 ni mpango mzuri wa kusoma biblia kila siku sehemu kwa sehemu kwa mwezi wa septemba pamoja na maelezo mafupi ya kukusaidia kutafakari somo ulilosoma. Katika mpango huu utasoma zaidi kitabu cha Warumi na Methali. Karibu kujiunga na mpango huu

More

Tungependa kuwashukuru Soma Biblia kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: https://www.somabiblia.or.tz/