Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Soma Biblia Kila Siku 09/2024Mfano

Soma Biblia Kila Siku 09/2024

SIKU 23 YA 30

Yehu alipomwua Ahazia na ndugu zake 42, kiti cha ufalme cha Yuda kilikosa mtawala, basi Athalia, mama yake Ahazia, alitwaa mamlaka. Ili kufanikisha mpango wake alitaka kukomesha ukoo wa Daudi, lakini mtoto mmoja, Yoashi, alitoroshwa na kufichwa ndani ya hekalu kwa muda wa miaka saba. Kisha kuhani Yehoyada aliweka wazi mpango wa kumtawaza Yoashi kuwa mfalme, na makamanda wa vitengo mbalimbali vya ulinzi wakaunga mkono. Inaonekana miaka yote hao walikuwa wamebaki kuwa waaminifu kwa Bwana.

siku 22siku 24

Kuhusu Mpango huu

Soma Biblia Kila Siku 09/2024

Soma Biblia Kila Siku 09/2024 ni mpango mzuri wa kusoma Biblia kila siku sehemu kwa sehemu kwa mwezi wa Tisa pamoja na maelezo mafupi ya kukusaidia kutafakari somo ulilosoma. Katika mpango huu utasoma zaidi kitabu cha Mathayo na 2 Wafalme. Karibu kujiunga na mpango huu

More

Tungependa kumshukuru Soma Biblia kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: https://www.somabiblia.or.tz

Mipangilio yanayo husiana