1
Yohana 1:12
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
TKU
Lakini baadhi ya watu walimkubali wakamwamini na akawapa haki ya kuwa watoto wa Mungu.
Vergelyk
Verken Yohana 1:12
2
Yohana 1:1
Mwanzoni Kabla ulimwengu haujaumbwa alikuwepo Neno. Huyo Neno alikuwa pamoja na Mungu, na Neno alikuwa Mungu.
Verken Yohana 1:1
3
Yohana 1:5
Nuru hiyo yamulika gizani, na giza halikuishinda.
Verken Yohana 1:5
4
Yohana 1:14
Neno akafanyika kuwa mwanadamu na akaishi pamoja nasi. Tuliouna ukuu wa uungu wake; utukufu alionao Mwana pekee wa Baba.
Verken Yohana 1:14
5
Yohana 1:3-4
Kila kitu kilifanyika kupitia kwake. Hakuna chochote katika uumbaji wa Mungu kilichofanyika bila yeye. Ndani yake Neno kulikuwemo na uzima, na uzima huo ulikuwa nuru kwa ajili ya watu wa ulimwenguni.
Verken Yohana 1:3-4
6
Yohana 1:29
Siku iliyofuata Yohana akamwona Yesu akija kwake na kusema, “Tazama, Mwanakondoo wa Mungu mwenye kuondoa dhambi za ulimwengu.”
Verken Yohana 1:29
7
Yohana 1:10-11
Huyo Neno alikuwapo tayari ulimwenguni. Ulimwengu uliumbwa kupitia yeye, lakini ulimwengu haukumkubali. Alikuja kwa ulimwengu ulio wake, na watu wake mwenyewe hawakumkubali.
Verken Yohana 1:10-11
8
Yohana 1:9
Nuru ya kweli, anayeleta mwangaza kwa watu wote, alikuwa tayari kuonekana kwa ulimwengu.
Verken Yohana 1:9
9
Yohana 1:17
Hiyo ni kusema kuwa, sheria ililetwa kwetu kupitia Musa. Lakini neema na kweli imekuja kupitia Yesu Kristo.
Verken Yohana 1:17
Tuisblad
Bybel
Leesplanne
Video's