1
Isaya 44:3
Neno: Maandiko Matakatifu 2024
Kwa maana nitamimina maji juu ya nchi yenye kiu, na vijito vya maji juu ya ardhi iliyokauka; nitamimina Roho wangu Mtakatifu juu ya watoto wako, nayo baraka yangu juu ya wazao wako.
Linganisha
Chunguza Isaya 44:3
2
Isaya 44:6
“Hili ndilo asemalo Mwenyezi Mungu, Mfalme wa Israeli na Mkombozi, Mwenyezi Mungu, Mungu wa majeshi ya mbinguni: Mimi ni wa kwanza na Mimi ni wa mwisho; zaidi yangu hakuna Mungu.
Chunguza Isaya 44:6
3
Isaya 44:22
Nimeyafuta makosa yako kama wingu, dhambi zako kama ukungu wa asubuhi. Nirudie mimi, kwa kuwa nimekukomboa wewe.”
Chunguza Isaya 44:22
4
Isaya 44:8
Msitetemeke, msiogope. Je, sikutangaza hili, na kutoa unabii tangu zamani? Ninyi ni mashahidi wangu. Je, yuko Mungu zaidi yangu mimi? Hasha, hakuna Mwamba mwingine; mimi simjui mwingine.”
Chunguza Isaya 44:8
5
Isaya 44:2
Hili ndilo asemalo Mwenyezi Mungu, yeye aliyekuhuluku, aliyekuumba tumboni, yeye atakayekusaidia: Usiogope, ee Yakobo, mtumishi wangu, Yeshuruni, niliyekuchagua.
Chunguza Isaya 44:2
Nyumbani
Bibilia
Mipango
Video