1
Hes 22:28
Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia
BWANA akakifunua kinywa cha yule punda, naye akamwambia Balaamu, Nimekutenda nini, hata ukanipiga mara tatu hizi?
Linganisha
Chunguza Hes 22:28
2
Hes 22:31
Ndipo BWANA akafunua macho ya Balaamu akamwona malaika wa BWANA amesimama njiani, ana upanga mkononi mwake, umekwisha kufutwa naye akainama kichwa, akaanguka kifudifudi.
Chunguza Hes 22:31
3
Hes 22:32
Malaika wa BWANA akamwambia, Mbona umempiga punda wako mara tatu hizi? Tazama mimi nimekuja ili kukupinga, kwa sababu njia yako imepotoka mbele zangu
Chunguza Hes 22:32
4
Hes 22:30
Yule punda akamwambia Balaamu, Je! Mimi si punda wako, nawe umenipanda maisha yako yote hata leo? Nimezoea kukutenda hayo? Akasema, La!
Chunguza Hes 22:30
5
Hes 22:29
Balaamu akamwambia punda; Kwa sababu umenidhihaki; laiti ningekuwa na upanga mkononi mwangu ningekuua sasa hivi.
Chunguza Hes 22:29
6
Hes 22:27
Yule punda akamwona malaika wa BWANA, akajilaza chini ya Balaamu; hasira yake Balaamu ikawaka, akampiga punda kwa fimbo yake.
Chunguza Hes 22:27
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video