1
2 Mose 4:11-12
Swahili Roehl Bible 1937
Naye Bwana akamwambia: Aliyempa mtu kinywa ni nani? Au ni nani anayemweka mtu kuwa bubu au kiziwi au mwenye macho au kipofu? Si mimi Bwana? Sasa nenda! Nami nitakuwa na kinywa chako, nikufundishe utakayoyasema.
Linganisha
Chunguza 2 Mose 4:11-12
2
2 Mose 4:10
Lakini Mose akamwambia Bwana: E Bwana wangu! Mimi si mtu ajuaye kusema tangu kale, wala tangu hapo, ulipoanza kusema na mtumishi wako, kwani kinywa changu ni kigumu, nao ulimu wangu ni mzito.
Chunguza 2 Mose 4:10
3
2 Mose 4:14
Ndipo, makali ya Bwana yalipomwakia Mose, akasema: Je? Mkubwa wako Haroni, yule Mlawi, hayuko? Simjui, ya kuwa anajua kabisa kusema? Naye utamwona, akikujia njiani, napo atakapokuona atafurahi moyoni mwake.
Chunguza 2 Mose 4:14
Nyumbani
Bibilia
Mipango
Video