1
Mwanzo 13:15
Neno: Maandiko Matakatifu
Nchi yote unayoiona nitakupa wewe na uzao wako hata milele.
Linganisha
Chunguza Mwanzo 13:15
2
Mwanzo 13:14
Baada ya Lutu kuondoka BWANA akamwambia Abramu, “Ukiwa hapo ulipo, inua macho yako utazame kaskazini na kusini, mashariki na magharibi.
Chunguza Mwanzo 13:14
3
Mwanzo 13:16
Nitaufanya uzao wako uwe mwingi kama mavumbi ya nchi, hivyo kama kuna yeyote awezaye kuhesabu mavumbi, basi uzao wako utahesabika.
Chunguza Mwanzo 13:16
4
Mwanzo 13:8
Hivyo Abramu akamwambia Lutu, “Pasiwe na ugomvi wowote kati yangu na wewe, wala kati ya wachungaji wangu na wako, kwa kuwa sisi ni ndugu.
Chunguza Mwanzo 13:8
5
Mwanzo 13:18
Basi Abramu akaondoa mahema yake, akaenda kuishi karibu na mialoni ya Mamre huko Hebroni, huko akamjengea BWANA madhabahu.
Chunguza Mwanzo 13:18
6
Mwanzo 13:10
Lutu akatazama akaona lile bonde lote la Yordani kuwa lilikuwa na maji tele, kama bustani ya BWANA, kama nchi ya Misri, kuelekea Soari. (Hii ilikuwa kabla BWANA hajaharibu Sodoma na Gomora.)
Chunguza Mwanzo 13:10
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video