Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Somabiblia Kila Siku 3Mfano

Somabiblia Kila Siku 3

SIKU 26 YA 31

Pigo la pili ni vyura walioingia kila mahali nchini. Na waganga wa Misri waliweza kufanya vivyo hivyo (m.7). Farao aliwaita Musa na Haruni ili wamwombee. Hakutaka kweli kumgeukia Mungu, ila ni kwa sababu tu aliugua chini ya hao vyura wengi mno. Baada ya maombi ya Musa, itikio la Farao lilikuwa kufanya moyo wake kuwa mgumu (m.15). Swali: Je, ni kwa sababu gani sisi tumemgeukia Mungu? Heri tukijibu: Nimemgeukia Mungu kwa sababu ya upendo wake wa kumtoa mwanawe wa pekee kwa ajili yangu!

siku 25siku 27

Kuhusu Mpango huu

Somabiblia Kila Siku 3

SomaBiblia Kila Siku 3 ni mpango mzuri wa kukusaidia kusoma Biblia kwa njia rahisi. Ufafanuzi wa somo la kila siku unakupa mwanga na kiu ya kuendelea kulitafakari Neno la Mungu ukiwa peke yako au pamoja na wenzako.

More

Tungependa kushukuru Soma Biblia kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: http://www.somabiblia.or.tz

Mipango inayo husiana