Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Somabiblia Kila Siku 3Mfano

Somabiblia Kila Siku 3

SIKU 27 YA 31

Sasa mavumbi yaligeuzwa kuwa chawa. Kuanzia pigo hili waganga wa Farao walikuwa wanashindwa tena kuigiza! Wakaelewa kwamba hiki ni chanda(kidole) cha Munguwala si uganga wao mwenyewe. Wakamwelezea Farao haya, lakini moyo wake ulikuwa bado mgumu. Farao sasa alielewa kabisa, ila kutokana na moyo wake mgumuhakutaka kumgeukia Mungu. Hii ndiyo kumkufuru Roho Mtakatifu (kwa maelezo zaidi, soma Mk 3:28-30 na Mdo 4:13-22). Kila mtu anayetambua ukweli wa Mungu na kuwa tayari kumgeukia, huyu hamkufuru Roho Mtakatifu.

siku 26siku 28

Kuhusu Mpango huu

Somabiblia Kila Siku 3

SomaBiblia Kila Siku 3 ni mpango mzuri wa kukusaidia kusoma Biblia kwa njia rahisi. Ufafanuzi wa somo la kila siku unakupa mwanga na kiu ya kuendelea kulitafakari Neno la Mungu ukiwa peke yako au pamoja na wenzako.

More

Tungependa kushukuru Soma Biblia kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: http://www.somabiblia.or.tz

Mipango inayo husiana