Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Soma Biblia Kila Siku 07/2020Mfano

Soma Biblia Kila Siku 07/2020

SIKU 29 YA 31

Waliokuwa wanatoza ushuru wa nusu shekeli ni viongozi wa hekalu la Mungu Yerusalemu. Thamani ya nusu shekeli ni sawa na malipo ya kazi ya kibarua ya siku mbili Tanzania. Kwa mfano wake Yesu anataka kusema kwamba yeye na wanafunzi wake huru, wasingehitaji kulipa, maana Yesu ni mwana wa Mfalme wa Mbinguni na wanafunzi wake ni watoto wa Mungu. Wao si wageni. Yesu ameleta majira mapya. Shughuli za hekalu zinaelekea kwisha. Kwa siku sijazo hekalu la Mungu litakuwa ni mioyo ya watu wanaomwamini Yesu.

siku 28siku 30

Kuhusu Mpango huu

Soma Biblia Kila Siku 07/2020

Soma Biblia Kila Siku 07/20 ni mpango mzuri wa kusoma Biblia kila siku sehemu kwa sehemu hasa katika kitabu cha Mathayo na Ezekieli. Mpango huu una maelezo mafupi yatakayokusaidia kuelewa zaidi Neno la Mungu. Karibu kujiunga na mpango huu

More

Tunapenda kumshukuru Soma Biblia kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: http://www.somabiblia.or.tz