Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Soma Biblia Kila Siku 07/2020Mfano

Soma Biblia Kila Siku 07/2020

SIKU 5 YA 31

Mifano miwili midogo katika m.31-33 inahusu nguvuya ajabu ya ufalme wa Mungu. Hili ni neno la kukutia moyo uliye mtumishi katika kanisa kwa namna moja au nyingine. Huenda wakati mwingine tunawaza kwamba wafuasi wa kweli wa Yesu mahali tulipo sisi ni wachache mno. Tena tunatambua upungufu wetu na matunda ya kazi huonekana ni hafifu sana. Ndipo tunatarajia kukata tamaa, na ndipo tunahitaji sana kuizingatia mifano hii miwili ya Yesu! - Mifano miwili mingine katika m.44-46 inahusu uzuriwa ufalme wa Mungu.

siku 4siku 6

Kuhusu Mpango huu

Soma Biblia Kila Siku 07/2020

Soma Biblia Kila Siku 07/20 ni mpango mzuri wa kusoma Biblia kila siku sehemu kwa sehemu hasa katika kitabu cha Mathayo na Ezekieli. Mpango huu una maelezo mafupi yatakayokusaidia kuelewa zaidi Neno la Mungu. Karibu kujiunga na mpango huu

More

Tunapenda kumshukuru Soma Biblia kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: http://www.somabiblia.or.tz