Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Soma Biblia Kila Siku /Juni 2023Mfano

Soma Biblia Kila Siku /Juni 2023

SIKU 3 YA 30

Wakachomwa mioyo yao(m.37). Kwa nini? Kwa sababu injilihaikuwafikia katikamanenotu; bali na katika nguvu, na katikaRoho Mtakatifu, nauthibitifu mwingi(1 The 1:5). Je, ndivyo ilivyo kwako uliye mhudumu wa Neno la Mungu leo? Kama sivyo, huenda ni kwa sababu hujatubu. Wewe mwenyewe hujakubali kuchomwa moyo. Iko dhambi maishani mwako ambayo hutaki kuikiri na kuiacha mbele ya Yesu. Kubatizwa umebatizwa, lakini hujapokea ondoleo la dhambi na kujazwa na Roho, maanahujatubu. Petro akawaambia, Tubuni mkabatizwe kila mmoja kwa jina lake Yesu Kristo, mpate ondoleo la dhambi zenu, nanyi mtapokea kipawa cha Roho Mtakatifu(m.38).

siku 2siku 4

Kuhusu Mpango huu

Soma Biblia Kila Siku /Juni 2023

Soma Biblia Kila Siku Juni 2023 ni mpango mzuri wa kusoma Biblia kila siku sehemu kwa sehemu pamoja na maelezo mafupi ya kukusaidia kuelewa somo ulilosoma. Katika mpango huu utasoma zaidi katika kitabu cha Matendo ya Mitume, Filemoni na 1 Wafalme. Karibu kujiunga na mpango huu.

More

Tungependa kuwashukuru Soma Biblia kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: https://www.somabiblia.or.tz/