Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Soma Biblia Kila Siku 09/2024Mfano

Soma Biblia Kila Siku 09/2024

SIKU 20 YA 30

Yehu anatumia mabavu ya siasa. Akiwataka viongozi kumteua mwana mmoja wa Yoramu awe mfalme, lengo ni kuwalazimisha kuonyesha kama wako pamoja naye au mfalme aliyekufa. Kwa kukata vichwa sabini vya wana wa Yoramu, wameunga mkono uhaini wake; na Yehu akiweka hatia ya vifo hivyo juu ya viongozi peke yao anawakumbusha kuwa hawana jinsi ya kurudi nyuma tena. Sababu ya kuwaua ndugu 42 wa mfalme Ahazia ni urafiki wao na familia ya Yoramu. Viongozi wetu wa kisiasa wana kazi ngumu, tuwaombee.

siku 19siku 21

Kuhusu Mpango huu

Soma Biblia Kila Siku 09/2024

Soma Biblia Kila Siku 09/2024 ni mpango mzuri wa kusoma Biblia kila siku sehemu kwa sehemu kwa mwezi wa Tisa pamoja na maelezo mafupi ya kukusaidia kutafakari somo ulilosoma. Katika mpango huu utasoma zaidi kitabu cha Mathayo na 2 Wafalme. Karibu kujiunga na mpango huu

More

Tungependa kumshukuru Soma Biblia kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: https://www.somabiblia.or.tz

Mipangilio yanayo husiana