Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Soma Biblia Kila Siku 04/2025Mfano

Soma Biblia Kila Siku 04/2025

SIKU 18 YA 30

Ijumaa kuu ni siku muhimu ya kukumbuka. Ni siku ile ambayo Yesu alisulubishwa msalabani kwa ajili yetu. Alisulubishwa kati ya wahalifu wawili. Mhalifu mmoja alilaumu na kumbeza Yesu kwamba hana uwezo wa kuwaokoa. Mwingine alitambua tofauti yake na Yesu, kwamba Yesu hana kosa. Aliomba tu Yesu amkumbuke, lakini Yesu alimsamehe na kumpa ahadi ya kuwa naye peponi. Yesu yupo hai hata leo, naye anaendelea kuwakaribisha wote wanaotambua dhambi zao waje kwake kupokea maisha mapya na uzima wa milele.

siku 17siku 19

Kuhusu Mpango huu

Soma Biblia Kila Siku 04/2025

Soma Biblia Kila Siku 04/2025 ni mpango mzuri wa kusoma Biblia kila siku sehemu kwa sehemu kwa mwezi Aprili pamoja na maelezo mafupi ya kukusaidia kutafakari somo ulilosoma. Katika mpango huu utasoma zaidi kitabu cha Walawi, Luka na 2 Petro. Karibu kujiunga na mpango huu

More

Tungependa kumshukuru Soma Biblia kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: www.somabiblia.or.tz