1
2 Timotheo 2:15
Swahili Revised Union Version
Jitahidi kujionesha kuwa umekubaliwa na Mungu, mfanyakazi asiye na sababu ya kutahayari, ukitumia kwa halali neno la kweli.
Linganisha
Chunguza 2 Timotheo 2:15
2
2 Timotheo 2:22
Lakini zikimbie tamaa za ujanani; ukafuate haki, na imani, na upendo, na amani, pamoja na wale wamwitao Bwana kwa moyo safi.
Chunguza 2 Timotheo 2:22
3
2 Timotheo 2:24
Tena haimpasi mtumwa wa Bwana kuwa mgomvi; bali kuwa mwanana kwa watu wote, awezaye kufundisha, mvumilivu
Chunguza 2 Timotheo 2:24
4
2 Timotheo 2:13
Kama sisi hatuamini, yeye hudumu wa kuaminiwa. Kwa maana hawezi kujikana mwenyewe.
Chunguza 2 Timotheo 2:13
5
2 Timotheo 2:25
akiwaonya kwa upole wao washindanao naye, ili kama ikiwezekana, Mungu awajalie ili watubu na kuijua kweli
Chunguza 2 Timotheo 2:25
6
2 Timotheo 2:16
Jiepushe na maneno machafu yasiyo na maana, ambayo si ya dini; kwa kuwa wataendelea zaidi katika maovu
Chunguza 2 Timotheo 2:16
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video