1
Waraka kwa Waebrania 8:12
Swahili Revised Union Version
Kwa sababu nitawasamehe maovu yao, Na dhambi zao sitazikumbuka tena.
Linganisha
Chunguza Waraka kwa Waebrania 8:12
2
Waraka kwa Waebrania 8:10
Maana hili ndilo agano nitakaloagana na nyumba ya Israeli Baada ya siku zile, asema Bwana; Nitawapa sheria zangu katika fikira zao, Na katika mioyo yao nitaziandika; Nami nitakuwa Mungu kwao, Nao watakuwa watu wangu.
Chunguza Waraka kwa Waebrania 8:10
3
Waraka kwa Waebrania 8:11
Nao hawatafundishana kila mtu na jirani yake, Na kila mtu na ndugu yake, akisema, Mjue Bwana; Kwa maana wote watanijua, Tangu mdogo wao hata mkubwa wao.
Chunguza Waraka kwa Waebrania 8:11
4
Waraka kwa Waebrania 8:8
Maana, anapowalaumu, asema, Angalia, siku zinakuja, asema Bwana, Nami nitawatimizia nyumba ya Israeli na nyumba ya Yuda agano jipya
Chunguza Waraka kwa Waebrania 8:8
5
Waraka kwa Waebrania 8:1
Basi, katika hayo tunayosema, neno lililo kuu ndilo hili: Tunaye kuhani mkuu wa namna hii, aliyeketi mkono wa kulia wa kiti cha enzi cha Ukuu mbinguni
Chunguza Waraka kwa Waebrania 8:1
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video