1
Mwanzo 25:23
Neno: Maandiko Matakatifu
BWANA akamjibu, “Mataifa mawili yamo tumboni mwako, na mataifa hayo mawili kutoka ndani yako watatenganishwa. Mmoja atakuwa na nguvu zaidi kuliko mwingine, na yule mkubwa atamtumikia yule mdogo.”
Linganisha
Chunguza Mwanzo 25:23
2
Mwanzo 25:30
Esau akamwambia Yakobo, “Haraka, nipe huo mchuzi mwekundu! Nina njaa kali sana!” (Hii ndiyo sababu pia aliitwa Edomu.)
Chunguza Mwanzo 25:30
3
Mwanzo 25:21
Isaka akamwomba BWANA kwa ajili ya mke wake, kwa sababu alikuwa tasa. BWANA akajibu maombi yake na Rebeka mkewe akapata mimba.
Chunguza Mwanzo 25:21
4
Mwanzo 25:32-33
Esau akasema, “Tazama, mimi niko karibu ya kufa, itanifaa nini haki ya mzaliwa wa kwanza?” Yakobo akamwambia, “Niapie kwanza.” Hivyo Esau akamwapia, akamuuzia Yakobo haki yake ya kuzaliwa.
Chunguza Mwanzo 25:32-33
5
Mwanzo 25:26
Baadaye, ndugu yake akatoka, mkono wake ukiwa umemshika Esau kisigino; akaitwa jina lake Yakobo. Isaka alikuwa mwenye miaka sitini Rebeka alipowazaa.
Chunguza Mwanzo 25:26
6
Mwanzo 25:28
Isaka, ambaye alikuwa anapendelea zaidi nyama za porini, alimpenda Esau, bali Rebeka alimpenda Yakobo.
Chunguza Mwanzo 25:28
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video