Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Somabiblia Kila Siku 3Mfano

Somabiblia Kila Siku 3

SIKU 24 YA 31

Kwa kufika Yerusalemu msafiri anajisikia kana kwamba ndoto imekwisha timizwa. Yerusalemu ulikuwa ni mji mzuri uliojengwa vizuri sana. Anapotazama kwa macho yake jinsi mji huu ulivyojengwa, anatambua kwamba Mungu amehusika na ujenzi wake ili makabila ya Israeli yaweze kuunganika katika ibada ya BWANA. Msafiri anamwomba Mungu sikuzote aulinde mji huo na kuwafanikisha watu wake. Yeye mwenyewe atafanya yote awezayo kwa kudumisha na kuongeza wema wa mji huu.

siku 23siku 25

Kuhusu Mpango huu

Somabiblia Kila Siku 3

SomaBiblia Kila Siku 3 ni mpango mzuri wa kukusaidia kusoma Biblia kwa njia rahisi. Ufafanuzi wa somo la kila siku unakupa mwanga na kiu ya kuendelea kulitafakari Neno la Mungu ukiwa peke yako au pamoja na wenzako.

More

Tungependa kushukuru Soma Biblia kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: http://www.somabiblia.or.tz

Mipango inayo husiana