Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Soma Biblia Kila Siku 5Mfano

Soma Biblia Kila Siku 5

SIKU 11 YA 31

Danieli na wenzake walikuwa ni miongoni mwa Wayahudi waliochukuliwa utumwani Babeli. Waliteuliwa na mfalme Nebukadreza kujifunza utamaduni wa Kibabeli. Majina mapya yaliakisi hilo. Walipendelewa waishi kifahari. Lakini kujua mila na desturi ya wenyeji kuliambatana na kujifunza dini ya wenyeji. Danieli aliikataa. Aliendelea kumtii na kumheshimu Mungu na si miungu. Kwani ’’imetupasa kumtii Mungu kuliko wanadamu’’ (Mdo 5:29). Alishinda majaribu. Mazingira yasikufanye uache uaminifu.

siku 10siku 12

Kuhusu Mpango huu

Soma Biblia Kila Siku 5

Soma Biblia Kila Siku 5 ni mpango mzuri wa kusoma Biblia sehemu kwa sehemu kila siku pamoja na maelezo yatakayokusaidia kutafakari na kuelewa Neno la Mungu kwa urahisi.

More

Tungependa kumshukuru Soma Biblia kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: http://www.somabiblia.or.tz/