Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Soma Biblia Kila Siku 9Mfano

Soma Biblia Kila Siku 9

SIKU 1 YA 30

Mungu athamini maagano tunayofanyiana sisi kwa sisi. Biblia yaonyesha kuwa Mungu ni wa maagano kati yake na watu wake. Daima anajali upande wake katika maagano kwa kutimiza ahadi. Nasi tufanye vivyo hivyo. Kama huwezi, njia ni hii moja: Umsihi mara moja uliyemdhamini ili akupe uhuru wako. Kama sivyo, umefungwa. Uvivu ni chanzo cha umaskini. Mungu hapendezwi na wavivu. Pia suala la uzururaji huzaa umbea na uzushi. Tuepuke! Vilevile twaaswa kuepuka kiburi, udanganyifu, uongo na mauaji.

siku 2

Kuhusu Mpango huu

Soma Biblia Kila Siku 9

Soma Biblia Kila Siku 9 ni mpango mzuri wa kusoma Biblia sehemu kwa sehemu na kupata maelezo mafupi ya kukusaidia kuendelea kutafakari na kuelewa Neno la Mungu. Mpango huu unagusa zaidi Kumbukumbu la Torati, Warumi na Mithali

More

Tunapenda kumshukuru Soma Biblia kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: http://www.somabolimo.or.tz

Mipango inayo husiana