Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Soma Biblia Kila Siku 09/2020Mfano

Soma Biblia Kila Siku 09/2020

SIKU 14 YA 30

Simba jike anayetajwa ni lugha ya picha kumaanisha ufalme wa Yuda ambao watu wake walitawala mataifa. Lakini mwaka 609 KK Misri iliwashinda, na mfalme Yehoahazi akachukuliwa utumwani (m.12-14, Aling'olewa kwa ghadhabu, akaangushwa chini, upepo wa mashariki ukakausha matunda yake; vijiti vyake vya nguvu vikavunjika, vikakauka; moto ulivila. Na sasa umepandwa jangwani, katika nchi kavu, ya ukame.Na moto umetoka katika vijiti vya matawi yake, umekula matunda yake, hata hana tena kijiti cha nguvu kifaacho kwa fimbo ya enzi ya kutawala). Mafanikio mema siku zote huletwa na Mungu. Hata hivyo inapotokea, wanadamu tumejisahau na kudhani yanatokana na jitihada zetu. Hudhani kuwa twaweza  kuyalinda wenyewe mafanikio hayo. Matokeo yake shetani kutupokonya kila kitu tukabaki watupu. Tusimwache Mungu wakati wowote.

siku 13siku 15

Kuhusu Mpango huu

Soma Biblia Kila Siku 09/2020

Soma Biblia Kila Siku 09/20 ni mpango mzuri wa kusoma Biblia kila siku sehemu kwa sehemu hasa katika kitabu cha 2 Wakorintho na Ezekieli. Mpango huu una maelezo mafupi yatakayokusaidia kuelewa zaidi Neno la Mungu. Karibu kujiunga na mpango huu

More

Nos gustaría agradecer a Soma Biblia por brindar este plan. Para mayor información por favor visite: http://www.somabiblia.or.tz