Soma Biblia Kila Siku Agosti 2021Mfano
![Soma Biblia Kila Siku Agosti 2021](/_next/image?url=https%3A%2F%2Fd233bqaih2ivzn.cloudfront.net%2Fdefault%2F1280x720.jpg&w=3840&q=75)
Ezekieli anaendelea kuoneshwa kile ambacho Mungu amekikusudia kifanyike na mpango wa jinsi Mungu anavyotaka hekalu lake liwe. Anaoneshwa milango na vyumba na matumizi ya kila kitu. Hii inatufundisha kuwa kabla ya kumjengea Mungu Kanisa au hata nyumba yoyote ya kanisa, ni lazima tuombe maelekezo kutoka kwa Mungu. Majengo anayoyaona Ezekieli hufanana na hekalu la Sulemani. Wakati huohuo vitu vingine vimeboreshwa. Hivyo vitafaa kwa kujazwa na utukufu wa Mungu na ibada takatifu za watu wake.
Andiko
Kuhusu Mpango huu
![Soma Biblia Kila Siku Agosti 2021](/_next/image?url=https%3A%2F%2Fd233bqaih2ivzn.cloudfront.net%2Fdefault%2F1280x720.jpg&w=3840&q=75)
Soma Biblia Kila Siku Agosti 2021 ni mpango mzuri wa kusoma Biblia kila siku sehemu kwa sehemu hasa katika kitabu cha Wakolosai, Marko na Ezekieli. Mpango huu una maelezo mafupi yatakayokusaidia kuelewa zaidi Neno la Mungu. Karibu kujiunga na mpango huu
More
Tungependa kuishukuru Soma Biblia kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: http://www.somabiblia.or.tz