Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Soma Biblia Kila Siku Agosti/2022Mfano

Soma Biblia Kila Siku Agosti/2022

SIKU 31 YA 31

Yesu asema, Nyumba yangu itaitwa nyumba ya sala kwa mataifa yote (Mk 11:17). Mifano yote ya somo la leo yataka kuonyesha nyumba hiyo! Hamna mfanya biashara. Kila kitu ni kitakatifu (m.21, Kila chombo katika Yerusalemu, na katika Yuda, kitakuwa kitakatifu kwa Bwana wa majeshi).Imeandikwa hapo pia kwambawatoao dhabihu hawatakosa nyama, maana wanaabudu katika roho na kweli, wakitoa miili yao kama dhabihu iliyo hai. Habari ya adhabu haisemi juu ya ulazimishaji, bali kwamba hatapatikana yeyote asiyetaka kuabudu, maana kila mtu aliyesalia wa mataifa yote atamwabudu Bwana kwa furaha na shukrani.

siku 30

Kuhusu Mpango huu

Soma Biblia Kila Siku Agosti/2022

Soma Biblia Kila Siku Agosti/2022 ni mpango wa kusoma Biblia sehemu kwa sehemu kila siku kwa mwezi wa Agosti pamoja na maelezo mafupi yatakayokusaidia kuelewa kwa urahisi na kuendelea kutafakari neno la Mungu ulilosoma kwa siku husika. Katika mpango huu utasoma zaidi katika kitabu cha 1 Wafalme na Zakaria. Karibu kujiunga na mpango huu na usome bure

More

Tungependa kuwashukuru Soma Biblia kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: http://www.somabiblia.or.tz/