Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Soma Biblia Kila Siku Agosti 2021Mfano

Soma Biblia Kila Siku Agosti 2021

SIKU 23 YA 31

Baada ya kufa kwa Yesu, Yusufu wa Arimathayo aliomba mwili wake ili auzike, na hawa wanawake watatu walikuwa wakitazama mahali alipozikwa. Alfajiri siku ya tatu, yaani Jumapili, hao wanawake walijihimu kaburini ili waupake mafuta mwili wa Yesu. Lakini wanapewa ujumbe kwamba amefufuka. Hii ni habari njema kwetu pia. Kwa kufufuka, Yesu ameshinda kifo na mauti. Bwana wetu yu hai, nasi tutaishi. Katika Adamu wote wanakufa na katika Kristo wote wanahuishwa (1 Kor 15:22). BWANA ASIFIWE!

siku 22siku 24

Kuhusu Mpango huu

Soma Biblia Kila Siku Agosti 2021

Soma Biblia Kila Siku Agosti 2021 ni mpango mzuri wa kusoma Biblia kila siku sehemu kwa sehemu hasa katika kitabu cha Wakolosai, Marko na Ezekieli. Mpango huu una maelezo mafupi yatakayokusaidia kuelewa zaidi Neno la Mungu. Karibu kujiunga na mpango huu

More

Tungependa kuishukuru Soma Biblia kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: http://www.somabiblia.or.tz