Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Soma Biblia Kila Siku Agosti/2022Mfano

Soma Biblia Kila Siku Agosti/2022

SIKU 17 YA 31

Kumbuka tuliyosoma jana. Tabia mbaya za Sulemani zilimwudhi Mungu. Kwa hiyo Mungu akamwambia, Kwa kuwa umefanya hayo, wala hukuyashika maagano yangu, ... hakika nitaurarua ufalme usiwe wako (m.11). Matokeo ya jambo hili yalipelekea Israeli kugawanyika katika falme mbili, yaani, ufalme wa Kusini (Yuda) na ufalme wa Kaskazini (Israeli). Hili litufundishe kuwa kutokutii maagizo ya Mungu kuna matokeo. Mungu anakasirika, na anaweza kuadhibu kizazi kilichopo na hata kile kitakachofuata.

siku 16siku 18

Kuhusu Mpango huu

Soma Biblia Kila Siku Agosti/2022

Soma Biblia Kila Siku Agosti/2022 ni mpango wa kusoma Biblia sehemu kwa sehemu kila siku kwa mwezi wa Agosti pamoja na maelezo mafupi yatakayokusaidia kuelewa kwa urahisi na kuendelea kutafakari neno la Mungu ulilosoma kwa siku husika. Katika mpango huu utasoma zaidi katika kitabu cha 1 Wafalme na Zakaria. Karibu kujiunga na mpango huu na usome bure

More

Tungependa kuwashukuru Soma Biblia kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: http://www.somabiblia.or.tz/