Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Soma Biblia Kila Siku 07/2020Mfano

Soma Biblia Kila Siku 07/2020

SIKU 21 YA 31

Mungu haachi dhambi bila kuiadhibu, ila ana tabia ya kuonya kabla ya kuhukumu. Ameshaonya, na leo tena anaonya. Neno la leo ni mfano wa mzazi amwambiaye mwanawe, “Usitende kosa”. Mtoto akifanya aliloonywa kutofanya, hakika ataadhibiwa. Zingatia uzito wa ujumbe: Ajali yako imekujia ... ni mwisho(m.6 na 2). Hata sisi tunaonywa kwa neno hili. Bwana si mwenye kumhesabia mtu mwovu kuwa hana hatia kamwe(Kut 34:71). Kama maisha yetu hayamtii Mungu, ghadhabu yake inatukalia. Tujihadhari!

siku 20siku 22

Kuhusu Mpango huu

Soma Biblia Kila Siku 07/2020

Soma Biblia Kila Siku 07/20 ni mpango mzuri wa kusoma Biblia kila siku sehemu kwa sehemu hasa katika kitabu cha Mathayo na Ezekieli. Mpango huu una maelezo mafupi yatakayokusaidia kuelewa zaidi Neno la Mungu. Karibu kujiunga na mpango huu

More

Tunapenda kumshukuru Soma Biblia kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: http://www.somabiblia.or.tz