Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Soma Biblia Kila Siku Agosti 2021Mfano

Soma Biblia Kila Siku Agosti 2021

SIKU 15 YA 31

Kwa Wayahudi Pasaka ilikuwa ukumbusho wa jinsi walivyokombolewa toka Misri. Tendo la mwanamke huyo ni zaidi ya kuonyesha upendo kwa Yesu. Anampaka mafuta ili kuonyesha ni Masihi, hata kama anaelekea kaburini. Tendo hili pia linabainisha unafiki wa wengine. Wanajifanya wana huruma kwa wasiojiweza, ingawa siku zote hawa wapo. Yuda Iskariote anawasaidia maadui wa Yesu kutimiza azma yao ya kumwua Yesu. Uovu huu ulisababisha kifo cha Yesu. Lakini anakubali kufa ili kuonyesha upendo wake kwetu sisi.

siku 14siku 16

Kuhusu Mpango huu

Soma Biblia Kila Siku Agosti 2021

Soma Biblia Kila Siku Agosti 2021 ni mpango mzuri wa kusoma Biblia kila siku sehemu kwa sehemu hasa katika kitabu cha Wakolosai, Marko na Ezekieli. Mpango huu una maelezo mafupi yatakayokusaidia kuelewa zaidi Neno la Mungu. Karibu kujiunga na mpango huu

More

Tungependa kuishukuru Soma Biblia kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: http://www.somabiblia.or.tz