Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Soma Biblia Kila Siku 03/2024Mfano

Soma Biblia Kila Siku 03/2024

SIKU 19 YA 31

Melkizedeki alikuwa na vyeo viwili vikubwa: ufalme na ukuhani. Ibrahimu alibarikiwa naye, akampa fungu la kumi. Huo ni ushuhuda kuwa Melkizedeki alikuwa mkuu kuliko Ibrahimu. Hata Neno la Mungu limemfananisha na Mwana wa Mungu. Hana wazazi, wala mwanzo au mwisho wake haujulikani, na ukuhani wake wadumu. Hizo ni sifa za Yesu hasa, ambaye Biblia inamwita NENO aliyekuwepo bila mwanzo, tena hana mwisho. Mkazo hapa sio kumwinua Melkizedeki bali kumtazama Yesu katika hali yake halisi yaukuhani mkuu.

Andiko

siku 18siku 20

Kuhusu Mpango huu

Soma Biblia Kila Siku 03/2024

Soma Biblia Kila Siku 03/ 2024 ni mpango mzuri wa kusoma Biblia kila siku sehemu kwa sehemu kwa mwezi wa Machi pamoja na maelezo mafupi ya kukusaidia kutafakari somo ulilosoma. Katika mpango huu utasoma zaidi kitabu cha Waebrania. Karibu kujiunga na mpango huu

More

Tungependa kuwashukuru Soma Biblia kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: https://www.somabiblia.or.tz/