Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Soma Biblia Kila Siku 03/2024Mfano

Soma Biblia Kila Siku 03/2024

SIKU 21 YA 31

Katika Agano la Kale makuhani walitoka katika kabila la Lawi. Lakini Yesu Kristo alitoka katika kabila la Yuda. Vivyo hivyo pia Melkizedeki hakutoka katika kabila la Lawi, lakini alikuwa na ukuhani mkuu kiasi cha kumbariki Ibrahimu. Katika mabadiliko hayo, ukuhani umepatiwa ukamilifu wake katika Yesu Kristo. Ukuhani wa Yesu hapa unafananishwa na ule wa Melkizedeki, maana makuhani hawa wawili hawakufuata sheria ya Haruni. Hawana ukuhani unaotokana na kabila la Lawi, bali walimpendeza Mungu.

siku 20siku 22

Kuhusu Mpango huu

Soma Biblia Kila Siku 03/2024

Soma Biblia Kila Siku 03/ 2024 ni mpango mzuri wa kusoma Biblia kila siku sehemu kwa sehemu kwa mwezi wa Machi pamoja na maelezo mafupi ya kukusaidia kutafakari somo ulilosoma. Katika mpango huu utasoma zaidi kitabu cha Waebrania. Karibu kujiunga na mpango huu

More

Tungependa kuwashukuru Soma Biblia kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: https://www.somabiblia.or.tz/