Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Soma Biblia Kila Siku 03/2024Mfano

Soma Biblia Kila Siku 03/2024

SIKU 25 YA 31

Mtunga zaburi anamsifu Mungu huku akitafakari ukuu wake. Jambo moja hasa linamvuta kusifu. Ni uaminifu wa Mungu ambao unaonekana wazi katika agano lile alilofanya Mungu na mtumishi wake Daudi (ukipenda, soma 2 Sam 7:8-18). Ni agano la fadhili, na fadhili hiyo itadumu milele. Pia kwetu Mungu amefanya agano. Ni agano lake katika Kristo Yesu. Kila aliyebatizwa na kumwamini Yesu yuko chini ya fadhili zake nyingi.Heri watu wale waijuao sauti ya shangwekwa ajili ya agano hilo (m.15). Je, wewe ni miongoni mwao?

siku 24siku 26

Kuhusu Mpango huu

Soma Biblia Kila Siku 03/2024

Soma Biblia Kila Siku 03/ 2024 ni mpango mzuri wa kusoma Biblia kila siku sehemu kwa sehemu kwa mwezi wa Machi pamoja na maelezo mafupi ya kukusaidia kutafakari somo ulilosoma. Katika mpango huu utasoma zaidi kitabu cha Waebrania. Karibu kujiunga na mpango huu

More

Tungependa kuwashukuru Soma Biblia kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: https://www.somabiblia.or.tz/