Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Soma Biblia Kila Siku 03/2024Mfano

Soma Biblia Kila Siku 03/2024

SIKU 20 YA 31

Melkizedeki hakuwa mwana wa Lawi, lakini aliheshimiwa na Ibrahimu ambaye alikuwa baba wa Lawi na baba wa taifa teule. Wakati Ibrahimu alipotoa moja ya kumi ya nyara zake kwa Melkizedeki hata Walawi walishiriki, maana walikuwa bado katika viuno vya Ibrahimu. Kwa hiyo Melkizedeki alikuwa mkuu kuliko makuhani ambao walikuwa wana wa Lawi. Ukuhani wake unafananishwa na ukuhani wa Yesu aliyekamilisha ukuhani wa Walawi na kuweka ukamilifu wake. Yesu ndiye utimilifu wa Agano la Kale.

siku 19siku 21

Kuhusu Mpango huu

Soma Biblia Kila Siku 03/2024

Soma Biblia Kila Siku 03/ 2024 ni mpango mzuri wa kusoma Biblia kila siku sehemu kwa sehemu kwa mwezi wa Machi pamoja na maelezo mafupi ya kukusaidia kutafakari somo ulilosoma. Katika mpango huu utasoma zaidi kitabu cha Waebrania. Karibu kujiunga na mpango huu

More

Tungependa kuwashukuru Soma Biblia kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: https://www.somabiblia.or.tz/